Nafasi ya Kazi, Sengerema DC -Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II
Nafasi ya Kazi, Sengerema DC -Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II POST DETAILS POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema APPLICATION TIMELINE: 2024-02-13 2024-02-26 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)