Mpishi wa keki (muokaji) /Baker Job Vacancy at Monica Cakes and Events Company

Spread the love

Mpishi wa keki (muokaji) /Baker Job Vacancy at Monica Cakes and Events Company

Monica Cakes and Events ,Iliyopo Mbezi Beach , Dar es Salaam inatoa nafasi ya kazi ya Mpishi na Mpambaji wa keki Mbobezi:-

Tangazo:

Kampuni inahitaji mpishi wa keki (muokaji) na mpambaji keki ( awe mtu mmoja na ajue vyote ) , mwenye uzoefu tuu na awe anaishi Dar es salaam Karibu na Ofisi yetu Mbezi Beach Africana

Majukumu ya kazi:
1.Kuoka keki za aina zote
2.Ajue kupamba keki za kawaida,za kuchonga na za ngazi
3.Awe na uzoefu na upikaji na upambaji wa keki zaidi ya mwaka mmoja
4.Awe mchangamfu anayejali muda
5.Awe msafi kuanzia yeye mwenyewe hadi vifaa anavyotumia kuandaa bidhaa na mazingira ayaweke safi muda wote
6.Afahamu kupika mikate na vinginevyo vinavyookwa na bites mbali mbali
7.Afahamu kusoma na kuandika
8.Afahamu kuandaa vitafunwa aina zote

Vigezo:

1.Awe mzoefu wa kazi hii kuanzia miaka miwili na kuendelea
2.Awe na uwezo na ujuzi wa kutengeneza keki za ngazi zote
3.Awe anaufahamu juu ya afya ya chakula
4.Awe na uwezo wa kutunza kumbukumbu kila siku pamoja na kuandaa stock kila siku
5.Awe mchapakazi
6.Awe anaishi maeneo karibu na mbezi beach.
7.Afahamu kuandaa keki zote za fondant
8.Awe ni mtu anayeweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja
9.Awe ni mtu anayeweza kuzingatia muda na kujali muda wa kazi

Muda wa kazi: 08:00am end 06:00pm

Mshahara: Tshs 350,000/- Per Month
Free day: Monday
Lunch& Breakfast is provided at work

How to Apply :

Send. Your application letter & CV to:
info@monicacakesandevents.co.tz

FOR ANY ENQUIRES: CONTACT US 0693266327
Follow our Social Network Pages instagram/Tiktok/Facebook @monicacakesandevents
@monicacakesandeventsbistro
@monicasurprises

Website: www.monicacakesandevents.co.tz

Contact Details:
Monica Cakes and Events
Mbezi Beach Africana,
Dar es Salam-Tanzania.
+255 693 266 327 -Whatsapp tuu
+255744451762- Calls/Whatsapp/Sms

Mpishi wa keki (muokaji) / Baker Job Vacancy at Monica Cakes and Events Company

Send your Applications to the Email address provided.

The Deadline For Submitting Applications is 27/04/2024