Tangazo la Kazi: Nafasi za Udereva – School of St Jude
Kuhusu Shule Shule ya St Jude ni shule inayotoa elimu ya hisani ndani ya Tanzania. St Jude’s inafadhiliwa na wafuasi wa ukarimu kutoka kote ulimwenguni ambao hufanya dhamira yetu ya kuwapa wanafunzi wa Kitanzania mahiri na wanaotoka kwenye mazingira ya kimaskini elimu bure na yenye ubora. Shule ya St.Jude inayofuraha kutangaza nafasi Moja (1) ya