Nafasi ya Kazi, Kisha and Spa Elegant Spa – Spa Therapist

Spread the love

Nafasi ya Kazi, Kisha and Spa Elegant Spa – Spa Therapist

NAFASI YA KAZI: KISHA AND ELEGANT SPA (SPA THERAPIST)

Nafasi ya kazi KISHA AND ELEGANT SPA
We are hiring
Join our team

LOCATION : ARUSHA – MOSHONO
JOB TITTLE : SPA THERAPIST

Duties / Majukumu ya kazi
– All Spa works that includes: (Kazi zote za Spa ambazo zinahusisha) Massage Body Scrubs, Facial, Pedicure, Manicure, Waxing, Operating Sauna and Steambath
– ⁠Making sure all Machines and properties are in good condition (Kuhakikisha Mali zote za Ofisi zipo katika hali ya usalama)


VIGEZO (QUALIFICATIONS)
• Awe na kuanzia Elimu ya form 4(au zaidi) • ⁠Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea (Age 25 years and above) • ⁠Uzoefu wa kazi zote za spa wa mwaka 1 na kuendelea ( Work experience on spa : 1 year and above) • ⁠Awe na huduma nzuri na kauli kwa wateja (Very good customer care service) • ⁠Ajue kuongea kiswahili na kingereza (Must know two Languages English and Swahili)


Maombi ya kazi yatumwe hapa
atukingsanga@gmail.com
Au whatsapp +255765663799
au Yawasilishwe Moshono Ofisini, Ofisi zipo Moshono Nyamapori Ndani ya Jengo la E COMPLEX SHOPPING MALL kwa mawasiliano zaidi piga namba 0765663799

Viambatanisho vya maombi ya kazi
1. Barua ya Maombi (Application letter)
2. ⁠Cv (Kama ipo) (If available)
3. ⁠picha ya pasipoti (1 recent passport size)