Nafasi 2 Za Kazi, Cattieglamourbeauty – Mtaalamu wa Saluni

Spread the love

Nafasi 2 Za Kazi, Cattieglamourbeauty – Mtaalamu wa Saluni

Cattieglamourbeauty salon ,Iliyopo Makumbusho, Dar es Salaam inatoa nafasi za kazi kwa kijana wa kiume au wa kike mwenye ujuzi juu ya mambo yote yahusuyo urembo wa kike :-

Tangazo:

Salon inahitaji mtu jinsia yoyote mwenye ujuzi wa kusuka,kufanya makeup aina zote,kupamba maharusi na kutengeneza kucha kwa mvulana ( awe mtu mmoja na ajue vyote ) , mwenye uzoefu tuu na awe anaishi Dar es salaam maeneo Karibu na Ofisi yetu iliyopo Makumbusho.

Majukumu ya kazi:
1.Kusuka style zote trending na zile common
2.Ajue kufanya makeup aina zote na kupamba maharusi
3.Awe mwenye ujuzi wa kufanya hair style za aina zote za kawaida na za human hair
4.Awe anajua kufanya human hair installation and customization kwa viwango vya juu kabisa
5.Awe anajua kutengeneza kucha aina zote na huduma nyingine kama waxing itaongeza chance ya kupata nafasi (kwa mvulana) msichana ukiwa una hii sifa itaongeza tuu chance ila sio lazima
6.Awe anajua kubandika kope za aina zote ya mkanda na mojamoja kwa ustadi
7.Awe msafi kuanzia yeye mwenyewe hadi vifaa anavyotumia katika mazingira yake ya kazi
8.Awe ni mtu wa kujituma,mchapakazi anaweza kufanya kazi bila kusukumwa na kwa team work

Vigezo:

1.Awe mzoefu wa kazi hii kuanzia miaka miwili na kuendelea
2.Awe na uwezo na ujuzi wa mambo yote yahusuyo urembo
3.Awe mchapakazi
4.Awe ni mtu anayeweza kuzingatia muda na kujali muda wa kazi

Muda wa kazi saa 02:00 asubuhi hadi saa 03:30 usiku
Freeday: Monday
Lunch&Breakfast:At work

Jinsi ya Kutuma Maombi :

  1. Tuma kwa WhatsApp – Bofya Hapa Kutuma Maombi kwa WhatsApp

or

2, Send. Your application letter& CV TO cattieglamourbeauty@gmail.com

FOR ANY INQUIRES CONTACT US THROUGH 0712772104

Follow our Social Media Network Pages instagram/Tiktok/Facebook
@cattieglamourbeauty

Email: cattieglamourbeauty@gmail.com

The Deadline For Submitting Applications is 19/04/2024