Nafasi Ya Kazi: Kisha And Elegant Spa (Spa Therapist)

Spread the love

NAFASI YA KAZI: KISHA AND ELEGANT SPA (SPA THERAPIST)

Nafasi ya kazi KISHA AND ELEGANT SPA
We are hiring
Join our team

LOCATION : ARUSHA – MOSHONO
JOB TITTLE : SPA THERAPIST

Duties / Majukumu ya kazi
– All Spa works that includes: (Kazi zote za Spa ambazo zinahusisha) Massage Body Scrubs, Facial, Pedicure, Manicure, Waxing, Operating Sauna and Steambath
– ⁠Making sure all Machines and properties are in good condition (Kuhakikisha Mali zote za Ofisi zipo katika hali ya usalama)


VIGEZO (QUALIFICATIONS)
• Awe na kuanzia Elimu ya form 4 (au zaidi)
• ⁠Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea (Age 25 years and above)
• ⁠Uzoefu wa kazi zote za spa wa mwaka 1 na kuendelea ( Work experience on spa : 1 year and above)
• ⁠Awe na huduma nzuri na kauli kwa wateja (Very good customer care service)
• ⁠Ajue kuongea kiswahili na kingereza (Must know two Languages English and Swahili)


Maombi ya kazi yatumwe hapa
atukingsanga@gmail.com
Au whatsapp +255765663799
au Yawasilishwe Moshono Ofisini, Ofisi zipo Moshono Nyamapori Ndani ya Jengo la E COMPLEX SHOPPING MALL
kwa mawasiliano zaidi piga namba 0765663799

Viambatanisho vya maombi ya kazi
1. Barua ya Maombi (Application letter)
2. ⁠Cv (Kama ipo) (If available)
3. ⁠picha ya pasipoti (1 recent passport size)

For More up to date Opportunities Updates :

 Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp