Mfanyakazi wa Kike wa kuuza Duka la Dawa (ADDO) – DLDM Morogoro

Spread the love

Nahitaji: mfanyakazi wa kuuza duka la dawa- DLDM morogoro, Mazimbu road.

Awe na certificate cha ADDO.

Mshahara maelewano. Ni DLDM sio pharmacy !

Play the Audio Below for further Clarity / sikiliza sauti hapo chini kwa maelekezo zaidi.

BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO KWA WHATSAPP