Nafasi za Kazi UNIKING GROUP LTD – Receptionist , Fundi Welding, Fundi Mabango, Sticker (Printing and pasting) & Sales & Marketing

Spread the love

Nafasi za Kazi UNIKING GROUP LTD – Receptionist , Fundi Welding, Fundi Mabango, Sticker (Printing and pasting) & Sales & Marketing.

Jina la Kampuni: UNIKING GROUP LTD
Deals with: signage, promotion, branding, selling signage machine and materials(whole and retail seller)

Location: KINONDONI NAMANGA,DAR ES SALAAM, jengo ilipokuwa KING SOLOMON( au jirani na best bite/Exim bank)

Wafanyakazi Wenye Sifa Zifuatazo wanahitajika:-

  1. Mdada wa Reception
    ■umri kuanzia 18-30)
    ■Elimu chuo kikuu, O-level, A-level na Diploma awe vizuri kwenye English (speaking &Writing)
    ■Mkazi wa DSM itapendeza zaidi

2. Fundi Welding

3. Fundi Mabango(installations and Making)

4. Sticker (Printing and Pasting)

5. Sales and Marketing
awe vizuri kwenye:-

■ English speaking and writing
■ communication skills
■ Jinsia yoyote age 18-30

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Nafasi hizi za Kazi :

i. Maombi yatumwe kwa WhatsApp Pekee.

ii. Mwisho wa kutuma maombi ni , Jumanne Tarehe 30 / 1 / 2024 , inshallah .

iii. Siku za Ijumaa (2/2/2024) na Jumamosi (3/2/2024) ni Siku za Usaili (Interview) wa Nafasi hizi za Kazi.

Bofya Hapa Kutuma Maombi kwa WhatsApp