Nafasi za Kazi Precious Miracles Thrifts store – Binti wa Mauzo (Sales Staff)

Spread the love

Precious Miracles Thrifts store

‼️Tunaajiri‼️Tunaajiri‼️Tunaajiri‼️ Nafasi zipo Duka letu la ARUSHA NA Dar es Salaam‼️

Kama wewe ni Binti mwenye Sifa zifuatazo. Tuma CV yako kwenye email preciousmiraclestz@gmail.com. Tafadhali zingatia vigezo hivi na hakikisha CV yako inaonyesha qualifications tulizohitaji.

✅️ Una uzoefu wa kazi za Mauzo. Unajua namna ya kuongea na wateja na kutafuta wateja
✅️Mchangamfu na mcheshi

✅️Mwaminifu. Ni lazima na tutakupima.

✅️Uwe unapenda watoto

✅️Mzoefu wa kutumia Social Media. Tutataka uonyeshe kwa vitendo.

✅️ Umri kuanzia Miaka 20-30.

✅️ Ukiwa unajua Social Media Marketing ni added advantage.

✅️ Msafi na well organised.

✅️Mcha Mungu

Pitia Page yetu , link hapo chini kuelewa biashara tunayofanya na kazi unayoomba kufanya.

Kama una sifa hizi tutumie CV yako kabla ya Tarehe 15/2/2024.

Tunaencourage only serious and qualified candidates.

For more information visit: https://www.instagram.com/preciousmiracles_thrifts_store/