Nafasi ya Kazi , Danuu Beauty Saloon – Msaidizi wa Saloon

Spread the love

Habari nahitaji Msaidizi wa saloon, Saloon ipo Mabibo, Dar es Salaam, Tanzania.

Sana awe anajua huduma zote za Saloon ikiwemo kupaka make up na kusuka nywele zote,
Awe tayari kufanya kazi muda wowote atakao hitajika pia awe na uwezo wa kuendesha biashara hiyo.
Kwa aliye tayari anaweza kunitafuta Normal 0763 497829 na WhatsApp 0786 643429.

NB: JINSIA YOYOTE