Nafasi ya Kazi , Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga – Dereva Daraja II

Spread the love


POST DETAILS
POST DEREVA DARAJA II – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
APPLICATION TIMELINE: 2024-02-07 2024-02-21
JOB SUMMARY NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
Kufanya usafi wa gari; na
Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B

TAP/ CLICK HERE TO APPLY

See also: Nafasi za Kazi Precious Miracles Thrifts store – Binti wa Mauzo (Sales Staff)