Nafasi za Kazi za Cashier na Stationery

Spread the love

Ndugu Habar,

1. Nina supermarket nahitaji Cashier at least diploma ya uhasibu na awe anaishi kigamboni.

2. Nina stationery pia nisaidie kupata binti mwenye certificate atakaeweza (awe anaishi kigamboni)

Stationary ipo Maweni .

Supermarket Vijinweni .

Watume CV via ihatonohrservices@gmail.com