Nafasi ya Kazi , Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga - Dereva Daraja II

Nafasi 3 za Kazi , Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga – Mtendaji Wa Kijiji III

POST DETAILSPOST MTENDAJI WA KIJIJI III – 3 POSTEMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya ShinyangaAPPLICATION TIMELINE: 2024-02-07 2024-02-21JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji (ii)Katibu wa Kamati ya kijiji (iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji (iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika

Nafasi za Kazi Precious Miracles Thrifts store - Binti wa Mauzo

Nafasi za Kazi Precious Miracles Thrifts store – Binti wa Mauzo (Sales Staff)

Precious Miracles Thrifts store ‼️Tunaajiri‼️Tunaajiri‼️Tunaajiri‼️ Nafasi zipo Duka letu la ARUSHA NA Dar es Salaam‼️ Kama wewe ni Binti mwenye Sifa zifuatazo. Tuma CV yako kwenye email preciousmiraclestz@gmail.com. Tafadhali zingatia vigezo hivi na hakikisha CV yako inaonyesha qualifications tulizohitaji. ✅️ Una uzoefu wa kazi za Mauzo. Unajua namna ya kuongea na wateja na kutafuta wateja✅️Mchangamfu

Nafasi za Kazi UNIKING GROUP LTD - Receptionist , Fundi Welding, Fundi Mabango, Sticker (Printing and pasting) & Sales & Marketing

Nafasi za Kazi UNIKING GROUP LTD – Receptionist , Fundi Welding, Fundi Mabango, Sticker (Printing and pasting) & Sales & Marketing

Nafasi za Kazi UNIKING GROUP LTD – Receptionist , Fundi Welding, Fundi Mabango, Sticker (Printing and pasting) & Sales & Marketing. Jina la Kampuni: UNIKING GROUP LTDDeals with: signage, promotion, branding, selling signage machine and materials(whole and retail seller) Location: KINONDONI NAMANGA,DAR ES SALAAM, jengo ilipokuwa KING SOLOMON( au jirani na best bite/Exim bank) Wafanyakazi

Nafasi za Kazi za Cashier na Stationery

Nafasi za Kazi za Cashier na Stationery

Ndugu Habar, 1. Nina supermarket nahitaji Cashier at least diploma ya uhasibu na awe anaishi kigamboni. 2. Nina stationery pia nisaidie kupata binti mwenye certificate atakaeweza (awe anaishi kigamboni) Stationary ipo Maweni . Supermarket Vijinweni . Watume CV via ihatonohrservices@gmail.com

Nafasi Za Kazi , St Lucia - Mlezi Wa Watoto

Nafasi Za Kazi , St Lucia – Mlezi Wa Watoto

Nafasi Za Kazi , St Lucia – Mlezi Wa Watoto TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI  MLEZI WA WATOTO  (Malezi, Makuzi, Upishi na Usafi) Shirika la St Lucia, Tumejikita kuboresha nyanja zote za ukuaji na maendeleo ya afya za walengwa wetu kupitia kituo chetu cha watoto yatima/Nursing-home, Huduma ya Majumbani kupitia wahudumu wetu kwenye jamii katika