Nafasi ya Kazi , Msaidizi wa Stationery – Dar es Salaam

Spread the love

Tunahitaji msaidizi wa stationery, ofisi iko posta Dar es Salaam, awe na uzoefu na kazi na anaweza kuongea kiingereza.

Maombi ( CV , Application Letter + Passport Size Photo ) yatumwe kwa barua pepe edvinrwechu@gmail.com, nafasi ni moja na anahitajika kwa haraka !