Nafasi ya Kazi Jijini Arusha, Mkuu wa Shule

Spread the love

Habari za asubuhi Kaka

Kuna mmiliki shule anahitaji mtu awe mkuu kwenye shule yake kwa vigezo vifuatavyo,

  1. Awe ana degree ya ualimu
  2. Awe na experience na mtaala WA Cambridge
    3.strict

How to Apply :

WhatsApp your CV

NO calls

Update: Adequate Applications have already been received now, next step of Recruitment process is interviews.

See below :-