Nafasi za Kazi , Wise Restaurant Ubungo

Spread the love

Wise restaurant iliyoko ubungo Dar es salaam inakutangazia nafasi za kazi,

Nafasi zilizopo;

-Afisa masoko 
         mwenye uzoefu kuanzia mwaka 1 na kuendelea )

-wahudumu
  wenye umri kuanzia 20-27 uzoefu kuanzia miezi 9 na kuendelea

  SIFA 

-Awe na huduma nzuri kwa wateja(good customer service)
-Ajue namna ya kuongea na mteja
-Awe muaminifu

Jinsi ya Kutuma Maombi:

Tumia CV na Barua ya Maombi Watsap.

Mwisho wa kutuma maombi ni tar 20/3/2024
Nyote mnakaribishwa

Bofya Hapa Kutuma Maombi kwa WhatsApp