Nafasi 10 Kazi Monica Cakes and Events – Salesmen au Watembeza Vitafunwa

Spread the love

Monica Cakes and Events ,Iliyopo Mbezi Beach , Dar es Salaam inatoa nafasi 10 za kazi za salesmen au watembeza vitafunwa kumi

TANGAZO

Post:Tunatafuta salesmen au watembeza vitafunwa kumi (10)

Vigezo:
-Elimu ya Kidato Cha Nne yani form four
-Kitambulisho cha Nida
-Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa
-Na picha ya mdhamini mmoja

Mshahara: 80,000/=Tshs

Maombi yatumwe kwenda email tuu info@monicacakesandevents.co.tz

Mawasiliano 0744451762

Tembelea kurasa zetu instagram/Facebook na Tiktok @monicacakesandevents

Website: https://monicacakesandevents.co.tz

For More Regular up to date Opportunities Updates :

 Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp