Nafasi ya Kazi, Sengerema DC -Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II

Spread the love

Nafasi ya Kazi, Sengerema DC -Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II

POST DETAILS

POSTMSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Sengerema
APPLICATION TIMELINE:2024-02-13 2024-02-26
JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIESKuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register) Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)  
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.  
REMUNERATIONTGS C

BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI YA KAZI HII