Nafasi ya Kazi , Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga – Dereva Daraja II
POST DETAILSPOST DEREVA DARAJA II – 1 POSTEMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya ShinyangaAPPLICATION TIMELINE: 2024-02-07 2024-02-21JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES QUALIFICATION AND EXPERIENCE Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali.