Matokeo ya Darasa la Saba (PSLE) 2026/2027 Kutangazwa Rasmi Tarehe 3 Novemba 2026!
Matokeo ya Darasa la Saba (PSLE) 2026/2027 Kutangazwa Rasmi Tarehe 3 Novemba 2026! Mapigo ya moyo kwa wazazi, walezi, na wanafunzi nchi nzima sasa yanakaribia kufikia ukomo. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi kuwa mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba (PSLE)




