TAARIFA MUHIMU.

KCB BANK ikishirikiana na KCB FOUNDATION imejitolea kulipa ada 100% kwa ajili wanafunzi ili kujifunza  ufundi stadi kwa VETA zinazojulikana kisheria fani zipo nyingi kam vile

UDEREVA

MAPISHI

UMEME WAMAJUMBANI

MAPAMBO

USEREMALA n.k.

Katika mikoa ifuatayo

ZANZIBAR-UNGUJA na PEMBA

DARESALAAM

MOROGORO

KILIMANJARO

ARUSHA

KAHAMA

MWANZA.

Kumbuka ADA unalipiwa na KCB BANK

ukipata taarifa hii mtarifu na mwenzako

OKOA VIJANA MTAAÑI

AHSANTE.

KCB BANK TZ

link yq kujaza form :-

BOFYA HAPA KUJAZA FORM

Mwisho wa kujaza ni tarehe 26/07/2023.