Mfanyakazi wa Kike wa kuuza Duka la Dawa (ADDO) – DLDM Morogoro
Nahitaji: mfanyakazi wa kuuza duka la dawa- DLDM morogoro, Mazimbu road. Awe na certificate cha ADDO. Mshahara maelewano. Ni DLDM sio pharmacy ! Play the Audio Below for further Clarity / sikiliza sauti hapo chini kwa maelekezo zaidi. BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO KWA WHATSAPP







