Jifunze Muziki na Mr. Liheta

Jifunze Muziki na Mr. Liheta

Je una Mtoto au Ndugu wa JINSIA yeyote mwenye umri wa Miaka kuanzia Umri wa Miaka 8 na kuendelea, je mtoto huyo Ana interest ya kujua jinsi ya kutumia vyombo vya muziki kama vile Kinanda, Gitaa na Vile vile kusoma ‘musical notes’ na kuuelewa muziki kiundani. Je mnaweza kufika katika viunga vya Mkoa wa Arusha,