Nafasi 2 Za Kazi, Sengerema DC – Mtendaji Wa Kijiji III
POST DETAILS POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema APPLICATION TIMELINE: 2024-02-13 2024-02-26 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji (ii)Katibu wa Kamati ya kijiji (iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji (iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu