Nafasi ya Kazi , Mpishi wa Kiume
Nafasi ya Kazi , Mpishi wa Kiume , Soma maelezo kamili hapo chini na uyafuate kikamilifu , kisha uyatume.
Nafasi ya Kazi , Mpishi wa Kiume , Soma maelezo kamili hapo chini na uyafuate kikamilifu , kisha uyatume.
Nafasi 2 Za Kazi, Cattieglamourbeauty – Mtaalamu wa Saluni Cattieglamourbeauty salon ,Iliyopo Makumbusho, Dar es Salaam inatoa nafasi za kazi kwa kijana wa kiume au wa kike mwenye ujuzi juu ya mambo yote yahusuyo urembo wa kike :- Tangazo: Salon inahitaji mtu jinsia yoyote mwenye ujuzi wa kusuka,kufanya makeup aina zote,kupamba maharusi na kutengeneza kucha
Nafasi ya Kazi, Kisha and Spa Elegant Spa – Spa Therapist NAFASI YA KAZI: KISHA AND ELEGANT SPA (SPA THERAPIST) Nafasi ya kazi KISHA AND ELEGANT SPAWe are hiringJoin our team LOCATION : ARUSHA – MOSHONOJOB TITTLE : SPA THERAPIST Duties / Majukumu ya kazi– All Spa works that includes: (Kazi zote za Spa ambazo
Nafasi ya Kazi, Mashama Memorial Polyclinic – Pharmaceutical Technician Mashama Memorial Polyclinic: Anahtajika pharm technicianEneo la kazi: ShinyangaAwe na leseni ActiveMshahara : Maelewano. How to Apply : WhatsApp your CV. BOFYA HAPA KUTUMA CV YAKO KWA WHATSAPP
NAFASI YA KAZI YA UDEREVA. Shule ya Sekondari Orkeeswa Iliyopo Wilaya ya Monduli -Mkoa wa Arusha inatangaza nafasi ya kazi ya Udereva kwaajili ya kuendesha magari ya shule. MUOMBAJI AWE NA VIGEZO VIFUATAVYO 1.Awe mtanzania 2.Awe na Leseni Ya Udereva yenye sifa za kuendesha magari Binafsi na Abiria 3.Awe Tayari kuishi ndani ya wilaya ya
Wanted Senior Accountant for Michamvi, Zanzibar. 1) Accounting Graduate 2) Well spoken English 3) Knowledge in Quick books Software. 4) ZRA/TRA/ZSSF Filing. Send CV to mhasibu27@gmail.com
Tunahitaji msaidizi wa stationery, ofisi iko posta Dar es Salaam, awe na uzoefu na kazi na anaweza kuongea kiingereza. Maombi ( CV , Application Letter + Passport Size Photo ) yatumwe kwa barua pepe edvinrwechu@gmail.com, nafasi ni moja na anahitajika kwa haraka !
Habari za asubuhi Kaka Kuna mmiliki shule anahitaji mtu awe mkuu kwenye shule yake kwa vigezo vifuatavyo, How to Apply : WhatsApp your CV NO calls Update: Adequate Applications have already been received now, next step of Recruitment process is interviews. See below :-
POST DRIVER CLASS II – 2 POSTEMPLOYER Mwanga District CouncilAPPLICATION TIMELINE: 2024-03-08 2024-03-22JOB SUMMARY NILDUTIES AND RESPONSIBILITIESChecking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition;Sending employees to different places on business trips;Doing small car repairs;Collecting and distributing various documents;Filling and keeping information of all trips in the trip book;Cleaning the
Wise restaurant iliyoko ubungo Dar es salaam inakutangazia nafasi za kazi, Nafasi zilizopo; -Awe na huduma nzuri kwa wateja(good customer service)-Ajue namna ya kuongea na mteja-Awe muaminifu Jinsi ya Kutuma Maombi: Tumia CV na Barua ya Maombi Watsap. Mwisho wa kutuma maombi ni tar 20/3/2024Nyote mnakaribishwa Bofya Hapa Kutuma Maombi kwa WhatsApp
Mtendaji Wa Kijiji III Vacancy At Mpwapwa District Council POST DETAILSPOST VILLAGE EXECUTIVE III – 1 POSTEMPLOYER Mpwapwa District CouncilAPPLICATION TIMELINE: 2024-03-07 2024-03-21JOB SUMMARY NILDUTIES AND RESPONSIBILITIES(i) Chief Executive of the village Government (ii) Secretary of the village committee (iii) Coordinator of the implementation of Policies and Laws implemented by the Council in the Village
Monica Cakes and Events ,Iliyopo Mbezi Beach , Dar es Salaam inatoa nafasi 10 za kazi za salesmen au watembeza vitafunwa kumi TANGAZO Post:Tunatafuta salesmen au watembeza vitafunwa kumi (10) Vigezo:-Elimu ya Kidato Cha Nne yani form four-Kitambulisho cha Nida-Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa-Na picha ya mdhamini mmoja Mshahara: 80,000/=Tshs Maombi yatumwe kwenda