Nafasi 10 Kazi Monica Cakes and Events – Salesmen au Watembeza Vitafunwa
Monica Cakes and Events ,Iliyopo Mbezi Beach , Dar es Salaam inatoa nafasi 10 za kazi za salesmen au watembeza vitafunwa kumi TANGAZO Post:Tunatafuta salesmen au watembeza vitafunwa kumi (10) Vigezo:-Elimu ya Kidato Cha Nne yani form four-Kitambulisho cha Nida-Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa-Na picha ya mdhamini mmoja Mshahara: 80,000/=Tshs Maombi yatumwe kwenda