RATIBA Kamili ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024

Spread the love

Habari Njema UEFA Champions League sasa inaendelea tena, ikiwa imefikia katika hatua ya 16 Bora, pata ratiba kamili hapa , kazi au Shughuli pevu inaanza sasa !

RATIBA Kamili ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024 (Leg 1 of 2)

February 13-2024 UEFA Champions League
23:00 Copenhagen vs Manchester City
23:00 RB Leipzig vs Real Madrid

February 14-2024 UEFA Champions League
23:00 PSG vs Real Sosiedad
23:00 Lazio vs Buyern Munich

February 20-2024 UEFA Champions League
23:00 PSV vs Borussia Dortmund
23:00 Inter Milan vs Atletico Madrid

February 21-2024 UEFA Champions League
23:00 FC Porto vs Arsenal
23:00 Napoli vs FC Barcelona

RATIBA ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024,Raundi ya 16 ya UEFA Champions League 2023/24, Ratiba ya Ligi ya Mabingwa bara Ulaya 2023/2024, Ratiba ya mechi za raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024, Ratiba UEFA Champions League 2023/2024 Fixtures.

RATIBA ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024
RATIBA Kamili ya Raundi ya 16 UEFA Champions League 2023/2024 (Leg 2 of 2)

March 05-2024 UEFA Champions League
23:00 Buyern Munich vs Lazio
23:00 Real Sociedad vs PSG

March 06-2024 UEFA Champions League
23:00 Real Madrid vs RB Leipzig
23:00 Manchester City vs Copenhagen

March 12-2024 UEFA Champions League
23:00 Arsenal vs FC Porto
23:00 FC Barcelona vs Napoli

March 13-2024 UEFA Champions League
23:00 Borussia Dortmund vs PSV
23:00 Atletico Madrid vs Inter Milan

Robo Fainali ya UEFA Champions League:
Droo ya robo fainali itafanyika Machi 15, 2024, Mechi za kwanza zitachezwa tarehe 9 na 10 Aprili, na za marudiano zitachezwa tarehe 16 na 17 Aprili 2024.

Nusu Fainali ya UEFA Champions League
Droo ya nusu fainali itafanyika Machi 15, 2024, Mechi za kwanza zitachezwa Aprili 30 na Mei 1, na za pili zitachezwa Mei 7 na 8, 2024.

Fainali ya UEFA Champions League
Fainali itachezwa tarehe 1 Juni 2024 kwenye Uwanja wa Wembley jijini London. Droo itafanyika tarehe 15 Machi 2024, baada ya droo ya robo fainali na nusu fainali, ili kubaini timu ya “nyumbani” kwa madhumuni ya usimamizi.

UEFA Champions League Fixtures / Ratiba 2024, Ratiba ya uefa champions league 2023 24 schedule, Ratiba ya uefa champions league 2023 24 results, Ratiba ya uefa champions league 2023 24 date, Ratiba YA UEFA leo Jumatano, Ratiba YA UEFA leo Jumanne.