Matokeo ya Ligi Kuu Uingereza / Premier League.

Matokeo ya Ligi Kuu Uingereza / Premier League. Daraja la juu kabisa katika mfumo wa ligi ya soka ya wanaume ya Uingereza linajulikana kama Ligi Kuu Uingereza / The Premier League. Ligi Hii inatumia mfumo wa kupanda na kushuka daraja wa Ligi ya Soka ya Uingereza na inashindaniwa na vilabu 20 (EFL). Kwa kawaida, misimu

Meta yatoa sasisho Jipya liitwalo ‘WhatsApp Community’

Meta Kampuni Mama ya WhatsApp wametoa sasisho jipya lenye maboresho zaidi. Kuanzia sasa watumiaji wa WhatsApp watakutana na kitu kinachoitwa WhatsApp Community kupitia akaunti zao za App ya WhatsApp. Meta wameachia sasisho jipya liitwalo WhatsApp community ambayo linafanya kazi ya kuunganisha zaidi ya groups 21 kuwa kitu kimoja. Zamani ilikua kumuingiza mtu kwenye Group la

Google Acquires Siemplify for $500M to expand it Cyber Security Capacity

Google acquires Siemplify, an Israeli security orchestration, automation and response startup that enables security teams to collect and manage large amounts of data. The startup will be integrated into the company’s Google Cloud Platform. The significant acquisition is part of Google’s broader efforts to expand its security capabilities as attacks become more frequent and sophisticated.