VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 23 -25 APRILI, 2025 – UTUMISHI
Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa tarehe 23 hadi 25 Aprili 2025, mnatakiwa kuingia kwenye akaunti zenu za AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio utaamua ni kanda ipi utafanyia usaili. Kwenda katika kituo (Mkoa) tofauti na kanda yako HAUTAWEZA KUFANYA USAILI