Matokeo ya Darasa la Saba 2026/2027 – NECTA PSLE Results (Yametoka Rasmi Sasa)
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatangaza rasmi Matokeo ya Darasa la Saba 2026 (PSLE Results) leo kuanzia saa 5:00 asubuhi. Wazazi, walimu, na watahiniwa kote nchini Tanzania sasa wanaweza kuanza kuangalia matokeo yao kupitia mfumo maalum uliowekwa na NECTA.
Hapa chini tumekuandalia mwongozo kamili wa jinsi ya kuangalia matokeo haya kwa urahisi kupitia mtandao au simu ya mkononi.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2026 Mkondoni (Online)
Mara baada ya NECTA kupachika matokeo hayo hewani, unaweza kuyaona kwa kufuata hatua hizi rahisi:
- Bonyeza Hapa ili kufungua tovuti rasmi ya matokeo.
- Kwenye orodha ya mitihani, chagua PSLE (Standard Seven Results) ya mwaka 2026.
- Chagua Mkoa ambao mwanafunzi alifanyia mtihani.
- Chagua Halmashauri (District) husika.
- Tafuta jina la Shule yako kisha fungua faili la PDF kuona majina na alama za watahiniwa.
Direct Links za Kuangalia Matokeo ya Darasa La Saba 2026/2027
Matokeo yametangazwa na NECTA leo, unaweza kuyapata moja kwa moja kupitia viungo (links) vifuatavyo:
- [ BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2026/2027 (LINK 1 – NECTA) ]
- [ BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA SHULE ZA SABA 2026/2027 (LINK 2 – MIRROR) ]
Njia Mbadala: Jinsi ya Kuangalia Matokeo kwa Simu ya Mkononi (USSD)
Kama mtandao wa intaneti unasuasua au unatumia simu ya kawaida (ya mkononi), unaweza kupata matokeo ya mwanafunzi moja kwa moja kupitia simu yako kwa kufuata hatua hizi:
- Piga *152*00# kwenye simu yako.
- Chagua namba 8 (ELIMU).
- Chagua namba 2 (NECTA).
- Chagua namba 1 (RESULTS).
- Fuata maelekezo ili kuingiza namba ya mtihani na mwaka, kisha utapokea ujumbe mfupi wa matokeo. (Kumbuka huduma hii inaweza kuwa na gharama ndogo ya mtandao takriban Tsh 100/- kwa ombi).
Ushauri Muhimu: Kwa kuwa wakati wa kutangazwa kwa matokeo kunakuwa na msongamano mkubwa kwenye tovuti ya NECTA, kama ukikutana na changamoto ya tovuti kusoma polepole, vuta subira kwa dakika kadhaa au tumia mfumo wa USSD wa simu ya mkononi.
Tunawatakia heri na mafanikio makubwa wanafunzi wote waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu! Endelea kutembelea ukurasa huu kwa taarifa na michakato inayofuata ya kujiunga na kidato cha kwanza.
Soma pia: Matokeo ya Darasa la Saba (PSLE) 2026/2027 Kutangazwa Rasmi Tarehe 3 Novemba 2026!
