Nafasi 2 za kazi Arusha, Operator wa Mashine ya Kutengeneza Mkaa Poa

Spread the love

MKAA POA

Nafasi 2 za kazi:

Kuoperate Mashine Ya Kutengenezea Mkaa  Poa.

Eneo: Kisongo, Arusha                                 

Vigezo:

•   Uzoefu Wa  Kutengeneza Mkaa  Poa

•  Kurekebisha Mashine pindi Inapopata Changamoto

Jinsi ya Kutuma Maombi:

Mawasiliano: 0788 532 404/ 0769 532 404

Soma pia: – Nafasi 2 za Kazi , Halmashauri ya Wilaya Muleba – Dereva Mashua / Vivuko Daraja II

Leave a comment