VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 23 -25 APRILI, 2025 – UTUMISHI

Spread the love

Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa tarehe 23 hadi 25 Aprili 2025, mnatakiwa kuingia kwenye akaunti zenu za AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio utaamua ni kanda ipi utafanyia usaili.

Kwenda katika kituo (Mkoa) tofauti na kanda yako HAUTAWEZA KUFANYA USAILI

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 23 -25 APRILI, 2025 - UTUMISHI

See also: Names Called for Interview at PSRS / Utumishi – April 2025

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 23 APRILI, 2025

Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu.

Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 23 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 24 APRILI, 2025

Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu.

Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 24 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.

VITUO VYA USAILI WA KUANDIKA KWA KANDA TAREHE 25 APRILI, 2025

Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu.

Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 25 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.

MCHANGANUO WA VITUO VYA USAILI KWA WAOMBAJI KAZI WA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) WALIOPANGIWA KUFANYA USAILI KANDA YA DAR ES SALAAM TAREHE 25 APRILI 2025

Waombaji kazi wote wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant) waliopangwa kufanya usaili kanda ya Dar es salaam mnajulishwa kuwa mnapaswa kuzingatia vituo vya usaili kwa mpangilio wa majina uliopo kwenye kiambatisho hapo chini.

Kwa kiambatisho kilichopo kwenye tangazo hili, wasailiwa kuanzia serial number 1 hadi 1000 watafanya usaili kituo cha JKT MGULANI.

Wasailiwa kuanzia serial number 1001 hadi 2000  watafanya usaili kituo cha KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA-GONGO LA MBOTO na;

Wasailiwa kuanzia serial number 2001 hadi 2540 watafanya usaili kituo cha TUMAINI UNIVERSITY DAR ES SALAAM

See also: Names Called for Interview at PSRS / Utumishi – April 2025