Nafasi Mpya za Ajira – Uhamiaji / Immigration – December 2023
Angalia hapa Nafasi Mpya za Ajira – Uhamiaji / Immigration – December 2023 , zilitoka Leo hii. TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa