Maelfu ya Vijana Waitwa Kwenye Usaili - Idara ya Uhamiaji / Immigration Services Deparment

Maelfu ya Vijana Waitwa Kwenye Usaili – Idara ya Uhamiaji / Immigration Services Department

Maelfu ya Vijana Waitwa Kwenye Usaili – Idara ya Uhamiaji / Immigration Services Department. Idara ya Uhamiaji inawatangazia vijana wafuatao waliotuma maombi ya nafasi za Ajira kupitia Ofisi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kufika kwenye usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa CafĂ© Theatre 1 & 2 Ndaki (Faculty) ya Biashara na Uchumi Chuo Kikuu cha Dodoma