Ratiba ya Ligi kuu Uingereza – Mzunguko wa 15

Daraja la juu kabisa katika mfumo wa ligi ya soka ya wanaume ya Uingereza linajulikana kama Ligi Kuu Uingereza / The Premier League.

Ligi Hii inatumia mfumo wa kupanda na kushuka daraja wa Ligi ya Soka ya Uingereza na inashindaniwa na vilabu 20 (EFL).

Kwa kawaida, misimu hudumu kutoka Agosti hadi Mei, na kila timu hucheza michezo 38 (kucheza timu nyingine zote 19 nyumbani na ugenini).

Mingi ya michezo ya Ligi Kuu Uingereza hufanyika Jumamosi na Jumapili alasiri, na michezo michache ya usiku katikati ya wiki hapa na pale.

Jumamosi, 5 Novemba 2022

Saa 12:00 Jioni Leeds United v AFC Bournemouth
Saa 12:00 Jioni Manchester City v Fulham
Saa 12:00 Jioni Nottingham Forest v Brentford
Saa 12:00 Jioni Wolverhampton Wanderers vs Brighton & Hove Albion
Saa 2:30 Usiku Everton v Leicester City

Ratiba ya Ligi kuu Uingereza – Mzunguko wa 15

Jumapili, 6 Novemba 2022

Saa 9:00 Mchana Chelsea v Arsenal
Saa 11:00 Jioni Aston Villa v Manchester United
Saa 11:00 Jioni Southampton v Newcastle United
Saa 11:00 Jioni West Ham United v Crystal Palace
Saa 1:30 Jioni Tottenham Hotspur v Liverpool

Mida ni ya Afrika Mashariki / Tanzania – Katika mfumo wa muda /majira ya Kiswahili

Soma Pia: Ratiba ya Kombe la Dunia 2022 | FIFA World Cup Qatar 2022 schedule